Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,668
- 149,840
Ili kuhakikisha kila kiongozi mkubwa katika nchi hii nae anapimwa kwa Mkemia Mkuu,ningepeleka hoja binafsi Bungeni kwa lengo la kutunga sheria mpya inayowataka viongozi wote wa nchi hii wapimwe kama wanatumia/wamewahi kutumia madawa y a kulevya.
Sheria hii ihusu viongozi wakubwa wa kisiasa pamoja na wale wote wanaosimamia na kutekeleza sheria hii ya kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (ni muhimu kujua status ya wale wote wenye dhamana na jambo hili kabla ya kufanya kitu kingine chochote kuhusiana na zoezi hili kama kweli tunataka kufanikiwa).
Hapa ndio tutaona kama wale wote walio mstari wa mbele kutaka viongozi wenzao wakapimwe kama watakuwa tayari kuona sheria ya aina hii inapitishwa na wao kutoa ushirikiano.
Wanaotoa maagizo na wanaotekeleza hii sheria ya kupambana na madawa ya kulevya nani ana uhakikia kuwa wao wako safi?
Wao wakituhumiwa au kutajwa na raia wema kama wanavyotajwa wananchi wengine, wataweza kujichunguza wao wenyewe?
Kwa sasa mnaweza msinielewa ila mtakapoona ni viongozi wa upande fulani tu ndio kila siku wanatajwa na kupimwa ndipo mtakapoona uchungu na ku-demand na wengine nao wapimwe.
Hili likitushinda basi tujue hakuna mwenye moral authority ya kumnyooshea mwingine kidole na tufute kabisa sheria inayowapa Polisi mamlaka ya kuwapima wengine.