Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 754
Alikiba sio kwamba kaamua kuoa Mombassa kwa Mapenz yake yote hapo kashauriwa na Gavana wa mombassa anaitwa Joh nirafiki yake sana. then ndo kamgaramia kila kituNimeona imekuwa kawaida sasa Vijana wengi wasanij wa TZ wanaenda kuoa nje ya Tanzania.Binafsi nikawa najiuliza kwanini hawaoi hapa Tz.Je kuwa hapa hakuna warembo? Siko karbu sana na wasanii yamkini ningepata mambo kadhaa yanayopelekea wasioe hapa.
Ameonakana AY kaoa Rwanda,Alikiba leo anaoa Kenya,Diamond amezaa na mdada wa Uganda..kuwataja wachache..
Mimi nikawa najiuliza kwanini si TZ?.Najua siyo vibaya lakini wadada zetu wana matatizo gani?
Nikahisi labda kwa sababu wasanii wengi wamerundikana Dar es salaam hivyo wanafahamiana sana hasa michezo yao kwani unaweza kuta msanii mmoja ameshatembea na wasanii wengine wote hivyo wanaona si jambo la heri kuoa watu wa aina hiyo.
je wewe unadhani nini hasa kinapelekea hii? View attachment 750230
Umeeleza Vyema sana, Maana utaoa Kidoti au Wema kila mtu ashapiga Mchezaji Muigizaji Muimbaji Mwanasiasa Mfanyabiashara sasa wewe utakuwa umeoa nini?Nimeona imekuwa kawaida sasa Vijana wengi wasanij wa TZ wanaenda kuoa nje ya Tanzania.Binafsi nikawa najiuliza kwanini hawaoi hapa Tz.Je kuwa hapa hakuna warembo? Siko karbu sana na wasanii yamkini ningepata mambo kadhaa yanayopelekea wasioe hapa.
Ameonakana AY kaoa Rwanda,Alikiba leo anaoa Kenya,Diamond amezaa na mdada wa Uganda..kuwataja wachache..
Mimi nikawa najiuliza kwanini si TZ?.Najua siyo vibaya lakini wadada zetu wana matatizo gani?
Nikahisi labda kwa sababu wasanii wengi wamerundikana Dar es salaam hivyo wanafahamiana sana hasa michezo yao kwani unaweza kuta msanii mmoja ameshatembea na wasanii wengine wote hivyo wanaona si jambo la heri kuoa watu wa aina hiyo.
je wewe unadhani nini hasa kinapelekea hii? View attachment 750230
Funguka kidogo mkuu.Rwanda katerero unaiwezaaa! Maana bila ya Hiyo hata upige deck sawa Na unatwanga Maji kwenye kinu.
Nakuunga mkonoNakushauri usije kuoa Rwanda. Wale sio mabinti wa kuoa.
Kati ya mikoa uliyoitaja nilijichukulia wangu mmoja safi kabisa,japo anadamu ya kitz kwa mbali ila kiukweli naridhika,wanawake wa kitanzania Waziri pia ila ni wajuaji sana alafu ni waongeaji kupita kiasi,wanyarwanda yes wanamapungufu yao kama uvivu na uchafu lakini mambo mengine wako poa kabisa.Huhitaji kua maarufu kuoa Rwanda wewe nenda zako Kahama, Shinyanga, Ngara, Kagera, Nyarubanda, Kigoma au Kigoma Mjini wanyarwanda( Watusi) wamejaa kibao mzee
Kweli mke mwemanatoka kwa Bwana Yesu endelea kuomba maana maisha ya ndoa vijana wengi wanafikiria ni kufanya mapenzi tu,mapenzi ni moja kati ya vitu vifanyikavyo kwenye ndoa, ndoa ina maana kubwa sana ndipo kuna amani au stress za daima, kwenye ndoa kuna utajiri au umasikini, kwenye ndipo kuna kuwasaidia wazazi au kuwatelekeza, kwenye ndoa kuna kuendelea kushikamana na nduguzo au kuwatenga kuna vitu kadha wa kadha.....Nitaoa palepale nilipoelekezwa Na Roho Mtakatifu wa Mungu