Ningekuwa Ally Kiba


endeleaaaaaa!.
 
Hahhaaaahaaa ukalale wapi?
Kalale njia panda uchi ubadilishe matokeo ya mwana kuchukua video bora ya mwaka

sema wimbo bora labda, video bora? mbona ntahamia garissa ingawa sipendi hzo team ya kiuhalisia tu!
 
Ni ngumu kuchukua tuzo au kuwa hata nominated tuzo za kimataifa kama 'local awards' tu za Kilimanjaro unamiliki tuzo moja tu na una miaka karibia 10 kwenye mziki!

Halafu unajiita king, labda n king wa nin nyie mashabik wake, nijuzeni.
 
Huyu jamaa ana uongozi mbovu ange tafuta manager mpya au aendee tuu wasafi atafika mbali muda unaenda tuu bila mambo ya maana aachane na bongo adili na kimataifa zaidi ila mashabiki zake wanamponza na vitunzo vya watu apige za mbele hizi ajitoe kabisa siyo size yake
 
Unaweza kuwa na soka safi ila chelsea akakutoa kwa style ya kupaki bus muziki biashara nasiyo kuuza sura ajitumie kupiga pesa na siyo sifa za watu jamaa ana weza ona mwenzie mondi ana kipaji kikubwa ila anajua mziki biashara anafanya kweli
 
Yap ilo wazo zuri baada ya kuchukiana aombee mawazo ajue mwenzie ana fanya nini mpka. Ana fanikiwa
 
Acha kutoa ushauri mzuri kwa hilo zoba. Hawezi kuondoa mgt yake, yupo chini ya Ruge na clouds media huo msukule
 
Singida na Dodoma ndiko wanakoishi wazaz wako ili kiba apeleke posa nifah andaa sanduku la wifi yako huyu

Naona anamzimia sana King.Huyu hakuna haja ya gharama ni wa kuchukua bure tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…