Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Ndio ujue sasa Kiba alivyokua juu huku leo hatupumi nyuzi za Kiba zimejazana kibao.
Hivi hawamuoni huyo aliyetoa video juzijuzi?
Rockstar entertainment nasikia ni wazungu ndo wenye hii company inayo mmanage kiba"
kumbe hujui lakini kukosoa namba moja, halafu leo naona thread nyingi kumhusu kiba, imekuwaje wajameni?
Wew mtoa mada mimi ningekuwa wew ningeshakojoa mapema now ningekuw kitandani nimelala
Hahaaaa kwake wanahangaika mno leo aisee.
Nijuze basi abt hz management nataka kujua.
Nilikuwa najiuliza shida ni nini mbona kila kona kiba ndo habari ya mjini?
kumbe kule AUDITAX kiba kura zake ndo zinaongoza na habari zimevuma kila kona.
Yani hawa wametumwa wakidhani wana mharibia Kiba kua si kitu kumbe ndo wanazidi kumpaisha.
Mtu wao katoa video mbili baada ya kuona watu hawa mind ndo wameanza kumwandama Ali kiba. Tatizo timu mond wana fight wrong battle aisee wamwache Kiba afanye yake. Kiba anakitu cha zaidi ndo mana wanamwandama.
Hahahahaaa leo hadi najiuliza kulikoni jamani?
Bora umenijuza mwaya.
Taarifa zimevuja kiba ndo anaongoza kwa kura kwa kila category ndo maana mamy.
Wanahahaaa balaaa yaan mpaka now kiba ndo mshindi bado kutangazwa tuu
Wew mtoa mada mimi ningekuwa wew ningeshakojoa mapema now ningekuw kitandani nimelala
we cut b na diva b wote inaonekana mnanipenda..:nikalale wapi sasa
Hahhaaaahaaa ukalale wapi?
Kalale njia panda uchi ubadilishe matokeo ya mwana kuchukua video bora ya mwaka
we cut b na diva b wote inaonekana mnanipenda..:nikalale wapi sasa
Hahahaha mi nakwambia hawa team mond lazima waje wapanic siku ya tuzo maana wameshaanza kuweweseka mapema mno