kwa taarifa yako hakuna mwanamziki na mwenye uwezo wa kuimba kama THE KING jamaa yupo bomba sana kuanzia sauti mpaka kutawala jukwaa. K 4 REAL
wewe jackmedia umetumwa au? unajua sijakusoma!
Mleta mada acha upuuzi kiba ndiyo kila kitu chetu, huo mshauri mpelekee yule jirani yetu mwenye fitna anayebebwa na Godfather kwenye video zake, ebooo
kwani kabla ya diamond kuja alikiba alikua anachezaje? nyie ndio mnagongwa na mascania makusudi ili mlipwe bila ya kuhofia afya zenuAnavyohangaikaga kucheza kutaka kumuiga Rais wa Wasafi #Teamdiamondforever #
ningemchumbia diamond na zari ningemkabidhi katunzi alee sababu siwez kuoa wanawake wawiliKama wewe ungekuwa ni ally kiba ungefanyaje wakati kama huu!!?
Leo mumetumwa kwa Kiba nini mana vinyuzi vingi visivo na kichwa wala miguu vimezidi humu. Mtajibeba kiba atabaki kuwa Kiba tu nyie hangaikeni Mpaka mchoke