Exactly lo
Sio kujiuzulu, bali kuuawa
alaa! kumbe watu kama nyie wako wengi? Ambao maslahi mapana ya nchi hayana umuhimu zaidi ya malahi finyu binafsi! Basi kumbe tunatastahiki viongozi kama hawa ikiwa akili zetu zimeumbwa hivi. Kuna Mwanafalsafa mmoja wa Kifaransa aliwahi kusema: 'L'esclavage est ce que veut l'esclave' yaani 'Utumwa ndiyo kitu hasa anachokipenda mtumwa'. Unathibitisha hilo. Tusiwalaumu madikteta, wauza watu wala wakoloni kwani hayo ndiyo hasa tuyatakayo!Ajiudhuru ashitakiwe kirahisi?
Hiyo sahau.
Alikosea angejiudhuru kabla ya kutoa amri ya shoot to kill mtu yeyote anayetoka nje wakati wa curfew baada ya uchaguzi.
Angekataa kutangazwa mshindi kinguvu kwa matokeo yenye utata. Angesamehewa na kushangiliwa kwamba kafanya jambo la kizalendo kwa taifa kukataa kumwaga damu.
Kwa sasa hata mimi ningekuwa mshauri wake ningemshauri ang'ang'anie hadi kifo.
Akimaliza mitano bado atashitakiwa huko kimataifa au warithi watabadili katiba na kumuondolea kinga ashitakiwe ndani.
Nafasi finyu ya kukwepa adhabu ipo, akiweza ajiondolee kinga ashitakiwe mahakama za ndani ila atumie vyombo vyake kuhakikisha ushahidi dhidi yake unakosekana. Hapo atatoboa. Ila kwenye harakati za kupoteza ushahidi asiuwe watu sababu chuki dhidi yake zitazidi atapinduliwa haraka.
Note: Siungi mkono mauwaji na ukandamizaji haki. Hapo nimejaribu kuwa neutral na kuvaa nafasi yake kwenye janga hili linalomkabili.
Nadhani umesoma na hukunielewa kwenye haya yangu ya mwisho ya hitimisho. Au haukusoma?alaa! kumbe watu kama nyie wako wengi? Ambao maslahi mapana ya nchi hayana umuhimu zaidi ya malahi finyu binafsi! Basi kumbe tunatastahiki viongozi kama hawa ikiwa akili zetu zimeumbwa hivi. Kuna Mwanafalsafa mmoja wa Kifaransa aliwahi kusema: 'L'esclavage est ce que veut l'esclave' yaani 'Utumwa ndiyo kitu hasa anachokipenda mtumwa'. Unathibitisha hilo. Tusiwalaumu madikteta, wauza watu wala wakoloni kwani hayo ndiyo hasa tuyatakayo!
Ni kujiuzulu, hakuna Kiswahili cha kujiudhuru!
Who told you I was educated in Tanzania? Those who write 'kujiudhuru' instead of 'kujiuzulu' certainly were!Nadhani umesoma na hukunielewa kwenye haya yangu ya mwisho ya hitimisho. Au haukusoma?
Hapo ndipo kuna msimamo wangu binafsi. Maelezo yaliyo tangulia I was only stating the obvious. Nikijaribu kuonesha sababu kwanini hajajiudhuru.
Pia hujanifuatilia humu JF nasimamia upande upi wa siasa za Tanzania na hasa mauwaji ya 29/10/2025.
It seems we have a very big problem when it comes to comprehension (reading and understanding) skills among Tanzanians. I don't know wether it's an individual problem or our education system.
As an expert in language, you should have been smart enough to understand my last paragraph.Who told you I was educated in Tanzania? Those who write 'kujiudhuru' instead of 'kujiuzulu' certainly were!
let's end it there. We have more serious issues to ponder and resolve, rather than the luxury of indulging in this malignant narcissism.As an expert in language, you should have been smart enough to understand my last paragraph.
Comprehension!!!!!!!
Kama hili tatizo la kusoma na kuelewa siyo lako binafsi mfumo wa elimu uliyopitia.
Rudi kadai pesa yako nchi ulikopata elimu yako.
Kipengele cha ufahamu (kusoma na kuelewa maana ya ulichosoma) unaanza kufundishwa mwanzo kabisa wa safari ya kutafuta elimu hasa kwenye somo la lugha yeyote duniani.
BTW, I'm not an expert in linguistics.
Utaonekana msanii(humaanishi) kwa sababu ya ile hotuba ya "WHO ARE YOU"Ngoja nimsaidie hapa kwa msaada wa akili mnemba
Wananchi wenzangu wa Tanzania,
Leo, tarehe 8 Januari 2026, nimeamua kuwasiliana nanyi moja kwa moja kupitia hotuba hii maalum. Nimekuwa Rais wenu tangu mwaka 2021, na nimejitahidi kwa moyo wote kuwahudumia na kuongoza nchi yetu kuelekea maendeleo, amani na umoja.
Lakini, matukio ya Oktoba 29, 2025, wakati wa uchaguzi mkuu na maandamano yaliyofuata, yamekuwa na athari kubwa sana kwa nchi yetu. Mauaji ya raia wetu wengi, majeruhi, na mateso yaliyotokea wakati huo yameniumiza moyo wangu sana. Ingawa niliteua tume ya uchunguzi na nilitoa maagizo ili kushughulikia suala hilo, nimeona kwamba watu wengi bado wana maumivu makubwa, na imani kwa uongozi wangu imepungua sana.
Kama Rais, nina wajibu wa kuhakikisha amani, haki na umoja wa taifa letu. Lakini kutokana na msingi wa matukio hayo makubwa ambayo yalitokea chini ya uongozi wangu, nimeamua kwamba njia bora ya kurejesha imani na kutoa nafasi ya upya ni kujiuzulu wadhifa wangu wa Urais.
Kwa hiyo, kuanzia sasa hivi, ninajiuzulu rasmi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nitafuata taratibu za Katiba yetu ili makamu wa Rais achukue wadhifa huo kwa muda, na kuwapa nafasi Wabunge na taasisi zetu kushughulikia mabadiliko yanayohitajika.
Ninawaomba msamaha wananchi wote, hasa familia za waliofariki dunia, waliojeruhiwa na walioteseka kutokana na matukio hayo. Moyo wangu uko nanyi. Ninataka nchi yetu iendelee kuwa na amani, na ninaamini kwamba hatua hii itasaidia kurejesha umoja wetu.
Tanzania ni nchi yetu sote. Tuendelee kuilinda na kuijenga kwa pamoja.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu awabariki ninyi nyote.
Asanteni sana.