Kila baada ya mita kama 100 kuna askari watatu au wanne, full combat wakiwa na mitutu. Wenyewe wanyarwanda wanatembea tu bila hofu, lakini mimi imenikera sana kuishi maisha ya mashaka namna hii.
Nimeuliza wenyeji wanasema kuna tetesi za mashambulizi kutoka kwa majenerali waliokimbia Rwanda, na eti kuna milipuko ya guruneti, ambayo kwa bahati nzuri haijatokea tangu nimefika hapa.
Inavyoelekea bajeti ya ulinzi ya nchi hii ni balaa tupu maana hata kama wanawalipa mishahara kidogo hawa wajeshi, ni wengi mno na pia kuna dalili ya kuzagaa wapelelezi wengi mitaani. Ukitembea unapigwa macho ya udadisi karibu na kila mtu kiasi imani inakutoka.
Haya sio maisha, tuombe Mungu yasitokee kwetu.
CDM Wakiendelea na mchezo wao mchafu tutafika huko.... na itakula kwao.
CDM Wakiendelea na mchezo wao mchafu tutafika huko.... na itakula kwao.
nani mtoto sasa hapa wewe au mtoa mada? kwani lazima uchangie? haya basi tuambie wewe uliyoyaona huko genva au vatican city......... heshima ni jambo la bure kijana usiandike kumtusi mtu wakati anatoa taarifa ya nchi za wenzetu wanavyoishi... ila sikulaumu ndio kwanza una siku 4 jamiiforums so bdo una utoto mwingi ukukua utaachaAcha utoto wewe! We ulipokuwa unakata shauri la kwenda Kigali ulijuwa unaenda Geneva au Vatican City? Peleka mbele utumbo huu!1
Acha utoto wewe! We ulipokuwa unakata shauri la kwenda Kigali ulijuwa unaenda Geneva au Vatican City? Peleka mbele utumbo huu!1
[/COLOR][/I][/B][/COLOR][/SIZE]
imani hapo ni zero....kwenye reds hapo umekurupuka kwa ama kutoijua historia ya kigali au kwasababu umefika na tu perception yako hapo ni mahali pasipo na amani....ok matukio ya kigali..rwanda na burundi siyo matokeo ya kutomcha Mungu .....rejea historia na utaikuta nukta moja ambapo hata wacha mungu walishiriki hayo matokea na sina kumbukumbu kama hao wacha mungu hawakutumia misaafu unayoitumia wewe.
Hata kama dini na vitabu vyake visingekuwepo basi Mungu angekuwepo tu...I was born with it,how should I leave it to you?