Queen Rover
Member
- Apr 29, 2015
- 88
- 79
Habari Wana JF wote...
Nakuja mbele zenu nikiwa nimeibeba nia yangu hii..naombeni njia tafadhali
..
Mimi ni binti mwenye Miaka 21.. Mrefu na mwili kiasi... Nasoma moja ya chuo hapa Dar es salaam kwa ngazi ya cheti nikitazamia kuanza diploma mwez wa 9.
Tangia nipo mdogo mpaka nakua hadi Leo nimejigundua kuwa na vipaji tofauti tofauti na vyote naweza kuvifanyia kazi... Mimi ni mchapakazi sana na nina hasira sana ya kuitafuta pesa kwa njia yoyote ile isiyo haramu wala isiyokubalika..napenda kujishughulisha sana na mambo mbalimbali..sipendi kumtegemea mwanaume kwakuwa inaweza tokea siku akashindwa.
Nia yangu..
Ni kufanya kazi kwa bidii... Kazi itakayoniingizia chochote kitu... Nina mipango mingi sana ikiwemo kufungua sehemu ya kulea watoto yatima siku moja na kuwapatia maisha wanayoyatamani kila siku.
Sipendagi kukata tamaa kwakuwa naelewa njiani lazima ukutane na magumu na mazito mengi
Kwavyovyote vile unahisi tunaweza kufanya kazi wote..au kuniajiri.. Au kuniunganisha na sehemu nayoweza kuwa msaada. Tafadhali ni Pm
Safari yangu bado ndefu..
Asanteni.