Ninayependa anataka nimpende rafiki yake

Ninayependa anataka nimpende rafiki yake

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Nimekuwa nikimpenda mwanamke flani lakini cha ajabu huyo nimpendaye ananifata ananiambia ana rafiki yake ananipenda mimi ananipa ushauri kuwa tafadhali usimtose rafiki yangu na asisitiza atafarijika endapo nitakuwa rafiki wa rafiki yake.

Sasa wakuu hiiimekaaje maana hata sielewi nini nifanye maana moyo nakila kitu sisikii kila saa niyeye tu!.Ananiheshimu sana mpaka naona noma baada yakuwa anakuwa na mimi karibu.

Na zile outing za jioni kaamua sasa kunitamkia nimpende rafiki yake na huyo rafiki yake ni bomba kuliko yeye ila sasa mimi nimezimikia kwake! Najiuli kwanini yeye ndo anatolewa outing lakini anataka agegedwe rafikie je yawezekana anamapungufu.
 
Wewe kula kwanza rafiki yake afu mwisho wa siku urudi tena kwake na umwambie ulijitahidi kujilazimisha sana kumpenda rafiki yake ila ukashindwa since unampenda sana yeye
 
Wewe kula kwanza rafiki yake afu mwisho wa siku urudi tena kwake na umwambie ulijitahidi kujilazimisha sana kumpenda rafiki yake ila ukashindwa since unampenda sana yeye

Yataka moyo kama anajitambua inakuwa ngumu!
 
Just try to understand the world, this is not a big issue in this world!
 
Make 3some with them and put on a p-square ft.don jazzy track ---collapo in a background when ur bangin' wit 'em!

Yawezekana ni hali ambayo huyo unempenda imemtokea sana na kuizoea na kumuharibu kisaikolojia na Kuwa na inferiority complex kwamba hawez pendwa coz sio mzuri kama huyo rafiki yake

Kwamba Me walimtongoza ila alivyowa introduce kwa huyo rafiki yake mashambulizi ya mtongozo yalibadilisha mwelekeo na kupelekea mwenzake kugegedwa na yeye kuachwa!

Sasa uko kwenye mtihani hapo ndugu, umetegwa ukimchukua beste ake means hukumpenda na hujavutiwa nae so ndio mtaachana! Na uzuri umesha admit Kuwa mwenzake ndio mzuri zaidi..

Sent from JamiiForums
 
Hapa shida ipo man huyu naye yupo bomba ila rafiki yake kamzidi ila kumtaka huyu inawezekana ila sikuwa najua kama yupo tayari kwa mambo hayo nilijua anaiheshimu.
 
Kaka Kiiza mbona hayo yanatokea sana?
huenda anakutaka na anakupima
unaweza mbandua mwenzake ndio ikawa balaa mkaachana nao wote
nakushauri kubali ushauri wake kimtego halafu watoe wote Out hapo utaona picha km ana ka-element ka wivu mrudie wako
na akigoma WAACHE wote kaanze na mwingine
 
Angalia zile picha za wanyama labda utapata kitu. Simba akifukuza swala hua anamlenga 1 kwanza, akishindwa kumkamata hapalamii mwingine hapohapo Bali hurudi kujipanga kwanza.
 
hakutaki unalazimisha penzi.. rafiki yake ni desperate women anahitaji mwenza na anaona we utafaa kwa kuwa labda uliingia kwa umpendaye kwa gia ya ndoa:tonguez:..... muhimu kama humpendi usiende komaa na umpendaye mpaka kieleweke .. ukifanya kosa la kula rafiki yake imekula kwako
 
Kama umejitahidi kumuonyesha kuwa unampenda na yeye ameonyesha kutokuwa na interest, ni umuache uendelee na yako, mwanamke akigoma pamoja na ushawishi mkubwa unaomfanyia, ujue ana sababu na wakati mwingine hutafurahia utakapomlazimisha halafu ukazijua.
Endelea na yako.
 
We mwambie tu mimi nakuhitaji wewe na si huyo rafiki yako, akikubali muoe kabisaaaa sio kumchezea, na kama akikataa achana naye kwani mapenzi hayalazimishwi.
 
25225348.jpg
 
early 20th naona wanamitihani maana mmechangia mada kikubwa
 
Wewe kula kwanza rafiki yake afu mwisho wa siku urudi tena kwake na umwambie ulijitahidi kujilazimisha sana kumpenda rafiki yake ila ukashindwa since unampenda sana yeye

daa bonge la ushauri wewe jamaa unatisha
 
Back
Top Bottom