Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

Hitler lived 65 years ago! We talk the present. Kila nabii (au hata shetani) na wakati wake..........
 

It's hard to get the big picture when you have such a small screen. genius brain
 

Hapa hakuna suala la utofauti wa itikadi kwa maana halisi ya itikadi (ideology); bali ni tofauti kati ya wanaoona na kupinga mfumo wa kifisadi unaoneemeshwa na utawala tulionao hivi sasa na wale wanaoridhika na hali iliyopo na kutoona haja ya kubadilisha kitu jambo linalotia shaka kama kweli wanajali mustakabali wa wananchi wenzao kwani hata serikali na CCM katika nyakati tofauti wameonyesha wasiwasi kwamba tuhuma za ufisadi zinawadhoofisha. Ni vigumu sana kuamini kwamba mtu anaweza kusifu Chama na utawala uliopo madarakani kama hafaidiki na ubadhirifu na ukandamizaji wa haki uliomo ndani yake. Kutumia neno itikadi bila kuelewa maana yake halisi ni kuchanganya mambo tu. Hivyo, badala ya kushangilia "ushindi" huo angalia picha kubwa zaidi na kujiuliza ni kipi hasa unachokiamini? Hii sio mechi ya mpira wa miguu!
 

Uteuzi wa CHADEMA viti maalum napo ni ufisadi mtupu, mtaanza kugombana kuanzia hapo....yetu majicho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…