Ninawindwa, mniombee...

daahh msela.unamsifia mwanaume mwenzio mzuriii,,
unawindwa na mwanamke eti kisa humtaki,,,
Kuna jamaa mwingine eti ni kidume naskia amemchamba mange kimambi na wanaume wengine wanamshamgilia kwa kitendo hicho...
daaahhh this is too much guys..
au nasema uongo wandugu?
 
Hujanielewa. Sijamsifia jamaa kuwa ni mzuri (hb), nimesema jamaa ni 'nice guy mzuri tu' tena ni introvert mpole yuko peace sana na kila mtu, hana hiyana.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Aisee Mbona hiyo ishu ndogo tu.Cool bize na ishu zako,fullstop.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mo natoa Hongera,Kuhusu kuomba mi sio Ombaomba.
Kamata hyo nafasi ya MANKA WA KICHAGA...
There is power in silence. Usimsalimie m ignore completely
 
Kama una uwezo na urijali wa kula mbunye mpaka Yale mashavu yake yakawa yanakupigia makofi nashauri mkule vizuri huyo Manka- lkn km nguvu zako ni tia maji tia maji uwezo mdogo basi endelea kumdengulia. Achana naye utakuja kuaibika.
 
Mpasue ndondi kama sita za uso tuone huko kujiamini kwake, au mpeleke magetoni mvue nguo zote kisha mwambie avae bila kumfanya chochote.
 
Kama una uwezo na urijali wa kula mbunye mpaka Yale mashavu yake yakawa yanakupigia makofi nashauri mkule vizuri huyo Manka- lkn km nguvu zako ni tia maji tia maji uwezo mdogo basi endelea kumdengulia. Achana naye utakuja kuaibika.
Siwezi kusema nina nguvu kwani nitakuwa najisifia. Ila sina njaa mbovu za k like majority of here. Nina msimamo, im ambitious. Anyway you are free to believe whatever u want

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana Kaka angu inaonekana suala hili linakutatiza Sana nakukupa Shida napenda kukushauri kwamba unayosababu yakuomba muda mkiwa wawili watatu na yeye akiwepo kuweza kuongea naye vizur kuhusu hisia zake kwake kwa HESHIMA zaidi bila kuongelea maneno uliyosikia kwa watu wengine Nadhani nitakuwa nimekusaidia Asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…