Muambie anunue raba mtoni kabisa, hapa atakanyagia hadi kisigino kiishe! Afu kuna maziwa ya kutengenezea juisi ya tende? Si unajua kazi yake?
Duuuh! leo na wewe unatoa ushauri mzuri namna hii, kuna thread yako moja niliiona ulikuwa unaomba ushauri kuhusu gf wako anapenda kuchezea kipaza sauti wakati ww hupendi. Umefanikiwa na wewe kumpa daawa na darasa ili abadilike?hyo tu ni tabia yake, na2main akwekwa chn akpewa daawa au darasa anaweza kuchange, cha maana awekwe chn na wazee apewe somo
Hehehe! Kumbe ma-shopping yote yale una-advertise posa? Kirrruuu, imekulaje kwako?
hahahah haya bhana mi ndo sisemi, utaingia line tu, panya mwerevu hunaswa na mtego wa zamani. hapa sio ndege mjanja tena