jasmin abdulrahman
Member
- Apr 7, 2012
- 32
- 5
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.š
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.š
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.š
hata kwa kufikiria kidogo huyu hafai na hiyo ni dalili tosha angalia utakuja jutaNaomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba hajui, nilimkataza kucheza kamali lakini anacheza kwa kujificha kadiriki ku2mia hadi pesa za kazini kwao laki7 kuchezea kamali na kaliwa zote hana sh. Mfukoni. Je huyu mwanaume anafaa kweli na leo nimepata taarifa zake kutoka kwa wasichana aliokuwa karibu nao wanasema ni kiwembe. Nishaurini mwenzenu nataka nimwambie aje achukue barua yake
yani uwa sipendi mtu anaye base on evidence ya kuambiwa...eti nmeambiwa na wasichana aliokuwa nao...ivi wewe demu nimtose afu akwambie mm ni mzuri?Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba hajui, nilimkataza kucheza kamali lakini anacheza kwa kujificha kadiriki ku2mia hadi pesa za kazini kwao laki7 kuchezea kamali na kaliwa zote hana sh. Mfukoni. Je huyu mwanaume anafaa kweli na leo nimepata taarifa zake kutoka kwa wasichana aliokuwa karibu nao wanasema ni kiwembe. Nishaurini mwenzenu nataka nimwambie aje achukue barua yake
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.š
Mi nlivyokuja moshi ukanikimbia, hukujua umekimbia na posa yako? Tehe tehe
Usipate shida my dear...ntakupa kaka yangu uje kula tende na kahwa lol
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
bora usake bangi
tena wewe utaposwa within one week.
Wewe naye unakompliketi mambo ......miezi mitatu nini bana, wiki moja tu posa na mahari inatumwa kwa M-PESA!
miezi mi3?kaleta posa?hebu timua hicho kisirani!kamari ni wehu huwa haumtoki mtu!Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba hajui, nilimkataza kucheza kamali lakini anacheza kwa kujificha kadiriki ku2mia hadi pesa za kazini kwao laki7 kuchezea kamali na kaliwa zote hana sh. Mfukoni. Je huyu mwanaume anafaa kweli na leo nimepata taarifa zake kutoka kwa wasichana aliokuwa karibu nao wanasema ni kiwembe. Nishaurini mwenzenu nataka nimwambie aje achukue barua yake