Kuna mambo ya kufanya ya kijinga sana kwa sababu ndio ujinga wenyewe.... Mtu mzima na akili zake anafurahia kuishi maisha ya kima au nyani....Anajiona mjaanja, kumbe mengine ni kuwaza tu kistaarabu....Watu wamelala wewe unaparagana na njia saa 6, 8 hiyo ni laana na amelaaniwa. Ameniharibia siku kwa kweli.Hahahaa tena RIP in advance maana hapo akirudi sa nane mke anamtext mchepuko wake "ndo limerudi hny" mchepuko nae anajibu "mkaushie baby take it easy,can't wait to see u later" wajinga ndo waliwao
Hahahaha jamani nyie viumbe hamueleweki mwee. Jana tu mmetoka kutuwashia Tuache tabia ya kuwakaripia. Sasa leo mmeanza tena kupenda kukaripiwa au? Kwa kweli sisi tutafata tu mdundo utakavyoenda
C.c atoto, Evelyn Salt, mkabasia
Ukiona unamfanyia mpenzi/mke wako vibaya ila hanuni,haulizi wala hakasiriki yeye ana furaha tu mda wote jua tu kuna mjanja anakusaidia kazi, sisi wanawake ni very sensitive tunapenda sana kujaliwa na attention kwa ujumla, sasa wewe endelea kurudi sa nane tena anafurahi maana anapata mda wa kuspend time na mchepuko wake bila bugudha
Gelofriend haya mamboz hayana formula, unadance according to the tune.....mambo yanakua sawa sawia, panapohitaji love show it, kwenye kukalipia do it, kama ikibidi pia kumgonga mwiko wa kichwa do it pia ha ha ha
Dada yangu Nkima unanishangaza. Hivi siku hizi kuna unyago kijijini Kanda ya ziwa?!!
Maana siku hizi unavyotiririka kama Msukuma wa Tanga hakyanani.
Ukiona unamfanyia mpenzi/mke wako vibaya ila hanuni,haulizi wala hakasiriki yeye ana furaha tu mda wote jua tu kuna mjanja anakusaidia kazi, sisi wanawake ni very sensitive tunapenda sana kujaliwa na attention kwa ujumla, sasa wewe endelea kurudi sa nane tena anafurahi maana anapata mda wa kuspend time na mchepuko wake bila bugudha
Hahahaa tena RIP in advance maana hapo akirudi sa nane mke anamtext mchepuko wake "ndo limerudi hny" mchepuko nae anajibu "mkaushie baby take it easy,can't wait to see u later" wajinga ndo waliwao
Kimsingi mkeo hana shida hata ukilala nje wiki nzima...
mradi yeye anajua wapi moyo wake unatulizwa...
Shhhhhhhh purple purple......
Unavujisha siri ya kambi, waache usiwashtue ha ha ha ha
Yaani una aakili wewe,Ulichosema ndo kinachofanyika. Nitafute for one for the road si unajua leo ni ijumaa........
You know where to find me..............................
Hahahahaaa na mm naomba nijoin humo kwny kuanza weekend!
Karibuuu halafu nimekumisiii...............
Uko wapii................ leo jioni.... nicheki
Hahahaa sirudii tena
sina haja na kuyajua ayo....provided muda sahihi Yupo hom na hatudharauliani am okeey....
Duuu kweelii umelichoka hilo lijitu(joking ) pole mkuu
Stuka!
Lakn ukwel unaumaHata likifa nje halijali, hata kama linaenda kubeba vvu lol