Kimsingi mkeo hana shida hata ukilala nje wiki nzima...
mradi yeye anajua wapi moyo wake unatulizwa...

ID yako tu.....wewe ndiye mchepuko au unahusudu mchepuko?
Miss you....!!!!!
Anakupenda hayo madogo......mie mwenzako nasonga ugali saa 8 usiku..hapa najua linalewa huko....likija fasta nalisongea ugali......
Na tuitwe tu wanawake silipigii simu wala msg maana hapa ni kwake litazurura litarudi tu home.......
Kimsingi mkeo hana shida hata ukilala nje wiki nzima...
mradi yeye anajua wapi moyo wake unatulizwa...
Umesema kilichoko kichwani mwangu......kwa hiyo napita tu hapa...
Namuona wife na Beb wangu wamelala...wife hana noma nimempigia amepokea na amenifungulia Geti muda huu SAA 6 ucku
good enough kaniandalia msosi na maji ya kuoga na hakuna mnuno...ananiuliza VP umefikia habar za Banadarini Leo?...hahaa
ameshanipigia pasi nguo za kesho na anajua kesho nitarud SAA 8 ucku...jumamos asubuh ataacha maagizo kwa Dada aniandalie mchemsho wa samaki asubuh...DON forget atawatoa kwenye frij wayeyuke na atapiga sim SAA NNE asubuh kunijulia hali....no mnuno!!
kikubwa jamani tuheshimiane na kupendana...ata simu izi tuache kupekuana Cc huwa wala hatushik sim za mwenzie..but uwe na adabu ikipigwa ongea Apo apo...
Duh, kama ni kweli umepata mke aliyekomaa kiakili...