Tatizo mahaba,mtu anapenda na kujitoa ufahamu,anatafuta kasoro tu ili amchafue mtu,ni kama mchangiaji mmoja alivyoingia Chaka kubwa kwamba Wapo Radio Fm ni ya Wakatoliki ndiyo maana inatangaza masuala ya Magufuli kwa kina sana tofauti na mwakilishi wa UKAWA,kwa kweli ni shida,badala ya kuangalia mambo ya mustakabali wa nchi yetu huko tuendako,watu wanasema hata aje Iddi Amini watamchagua yeye tu ili alete mabadiliko tu,iwe kuua watu sawa,kula nyama zao sawa,kuwapoteza watakaompinga sawa,abebwe kwenye kiti toka Magogoni hadi uwanja wa Taifa huku akivuta mtemba sawa.Ama kweli tembea uone.