Ninauza vifaa vya chips

okololo

Member
Feb 17, 2019
24
28
Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 2 za kucomelea na 1 ya mable
Jiko kubwa la Gas na mtungi wa gas wa kilo 15
High pressure regulator
Makarai 2 ya chips
Nauza bei ya kawaida sana

Nipigie 0653-178586
Whatsapp no 0620729600



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo wapi? Maana unaweza ukawa upo kenya! Sasa usafiri siunajua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…