.sikukatishi tamaa ila ukipata 80,000 nabadilisha username hapa JF
kinachonishangaza hizi simu zimetamba 2015 mpaka leo 2018 zibaki na standard ile ile kweli??.
Usimkatishe mwenzako tamaa mimi naitaka kwa iyo 100,000
Hiyo 80000ni bei ya mpya mbona dukanisikukatishi tamaa ila ukipata 80,000 nabadilisha username hapa JF
hapo bado hujui ina muda gani mkononiHiyo 80000ni bei ya mpya mbona dukani
Wakuu simu tajwa hapo juu inauzwa, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote. ukinunua unaweka line zako unakuendelea na mambo mengine.
Kwa mwenye uhitaji piga or whats up namba 0687332088. nikutumie picha..napata taabu kuapload picha hapa jukwaani.
Karibuni.
Weka picha acha utapeli!! Ukileta tangazo hapa hakikisha limekamilikaMkuu nimetoa namba kwa mwenye uhitaji nitamtumia picha kwa what's up
nakuunga mkono ni moja kati simu bora kabisa za Tecno kwa hilo hakuna ubishiMkuu hizi simu ni moja kati ya brand imara sana za tecno