Wandugu Nina ekari 100 pale vigwaza ninauza. Umbali Wa kutoka barabarani ni km 1 tu. Ninaweza kuuza hata kwa vipande vipande. Kama kuna MTU yupo interested anipigie 0676806077 tuongee.
Taja wilaya ama mkoa kabisa ilipo hiyo Vigwaza maana wengine hatujui ilipo ila tunaweza vutiwa na wilaya au mkoa husika na hata tu miji jirani tukanunua.
Wandugu Nina ekari 100 pale vigwaza ninauza. Umbali Wa kutoka barabarani ni km 1 tu. Ninaweza kuuza hata kwa vipande vipande. Kama kuna MTU yupo interested anipigie 0676806077 tuongee.
kama ni swali daah sio kivile there places zipo fertile especiallY vijiji vYa jiran na NAFCO na Kidogozero kuliko pakana pakana na mto ruvu sehemu zingine kama kambini ni kukame kiasi kwamba in sept wanashare maji na ng'ombe wa narco kwenYe Yale malambo
Mkuu huko kunako uzwa heka laki2 je upatikanaji wa maji yanapatikana a kuna makazi ya watu au nishamba na upande wa kilimo je hao wakazi wa hapo wanalima nn