Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe
Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo ninazileta kwa matumizi home, hizi zinabidi ziondoke
Bei: zote mbili nnataka TZS 800,000/= tuu
Faida utakayopata: unaweza kufungua laundry service ukajiingizia kipato maana bado zinapiga mzigo vizuri
Faida nitakayopata: sitakuwa na mizigo ya mashine stoo ambazo sizitumii
Njia ya mawasiliano: nicheki PM
View attachment 1102189View attachment 1102190
[emoji23][emoji23]unajiteteanipo kwangu,mimi nakaa kwangu toka nikiwa form 5.ila sijawa na hela tu ya kununua hiko kitu
Wewe kila mtu unamwambia yupo kwao. Unadhani kila mtu maskini sijui.[emoji23][emoji23]unajitetea
Ndio ukweli huoWewe kila mtu unamwambia yupo kwao. Unadhani kila mtu maskini sijui.
Naona unawaza mbali sana mkuu ukifikiria ukifua vijinsi vyako sita na vishati mikono yote inawaka moto unafikiria umeme unaenda sana.Hivi utumiaji wa umeme kwenyenmashine za kufulia nguo upoje? matumizi ni mengi au?
Bado ipoNna hii hapa pia manual ipo stoo mwaka unaisha mwenye YZS 300,000, aje ni manual View attachment 1102293View attachment 1102294