Ninauza mashine za kufua nguo

Wakuu mashine nimeuza imebaki hiyo moja ya laki 3 ni kama mpya
 
Mkuu natafuta sana hii ishu...nipe location iko wap niitimbie
 
Hivi utumiaji wa umeme kwenyenmashine za kufulia nguo upoje? matumizi ni mengi au?
 
Mawasiliano
 
Haya makitu sijawai yatumia lkn ipo siku tu lazima nilivute magetoni
 
Hilo manual nilishaletewa kwa 230 nikaskuti afu nikaichomolea niliona kama adhabu... auto ndio mwake mwake
 

zipo toka miaka hiyo,mwaka 1997 kuna mtu alikua nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…