Ninauza kiwanja Mbezi Maramba mawili- Mzalendo st.

In Globo

Member
Mar 26, 2015
10
7
Ninauza kiwanja Mbezi Maramba mawili mtaa wa Mzalendo

Kiwanja kipo sehemu nzuri yaani barabara ya mtaa (yaani center ya mtaa), nguzo ya umeme ipo kiwanjani.
Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi vilevile ujenzi kwa ajili ya shughuli za biashara (Frem, maduka, hardware, bar n.k)

Ukubwa: 27' x 20'
Bei: 15M (Maongezi yapo na ni mali yangu hakuna dalali)

Tuwasiliane: 0685 810 420
 
Back
Top Bottom