Hahah..ila jamaa amejitahidi walau amesukuma mwezi mmoja baada ya deadline (July)Alishasema atakae baki Dar kipindihiki ni mwanaume...
Magu legeza baba.....
Apo ndo nimepunguza Mkuu ukiangalia post za nyuma Godoro nilikua nauza laki nimepunguza maana Wateja nao wanalalamika so nikaona nije na bei nzuri kbspunguza kidogo maana hapa wengine tutasafirisha mpaka makwetu
UNAKIMBIA MJINIHello wakuu hopefully wazima wa afya ndugu zangu nauza Godoro la 6*6 kwa sh 70000 elfu na carpet la manyoya kwa sh 50000 tu karibuni napatikana Sinza mori .kwa no 0620685593.View attachment 569510
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka Kitanda mkuu, kipo ?Hello wakuu hopefully wazima wa afya ndugu zangu nauza Godoro la 6*6 kwa sh 70000 elfu na carpet la manyoya kwa sh 50000 tu karibuni napatikana Sinza mori .kwa no 0620685593.View attachment 569510
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu napumulia mashine. Yan Pua njee km mbwa mgonjwa ata Huo mwezi Cjui umeishaje aiseee.Hahah..ila jamaa amejitahidi walau amesukuma mwezi mmoja baada ya deadline (July)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wangupunguza kidogo maana hapa wengine tutasafirisha mpaka makwetu
Mimi nimeondoka kwa hiariAlishasema atakae baki Dar kipindihiki ni mwanaume...
Magu legeza baba.....
Kilimo kinalipa. Karibuni Moshi tulime ndizi
Hazilipi kama ndumbaKilimo kinalipa. Karibuni Moshi tulime ndizi
Msata hapo karibu na Dar. Ngosha hatabiriki anaweza kusogeza mipaka...
Hawa ndo wale wanasubiri wenzao wapate shida hahahaha