nusu mwaka wanamaliza wakiwa vzr tuNaweza kuwahifadhi kwa muda gani bila kuharibika?
Unapatikana wapi?nusu mwaka wanamaliza wakiwa vzr tu
anayeuza ni Mkuu Riben sio mimiUnapatikana wapi?
Weka wazi biashara, tujulishe unapatikana wapi?Dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi.
Kwanini ununue kwetu?
*Hawana mchanga wala uchafu
*Wamekaangwa wakiwa wabichi hivyo wanaweza kuliwa baada ya kupashwa tu sio lazima kuunga na nyanya.
* Wametiwa viungo kwa harufu nzuri
* Ni salama sana kwa matumizi ya nyumbani na familia sababu wamekaangiwa mafuta safi na kwa usafi wa hali ya juu.
NINAUZA KWA SADO 30000.
NB.NI KUTUMIA NYUMBANI KWA BIASHARA KUNA PACKAGE NYINGINE (PAKETI 800 NDOO 60000
0659251217 KARIBUView attachment 626279
Miezi sita na kuendelea wakiwa sehemu kavu salama. Kwa home kama unataka za kuunga nyanya Pia kama una friza unaweza kuandaa kiasi cha mlo mmoja mmoja unfreeze /gandisha ukitaka kupika unatoa na kutia mafuta kidogo then unaunga mboga yako. KaribuNaweza kuwahifadhi kwa muda gani bila kuharibika?
Tuko Dar,Musoma na MwanzaWeka wazi biashara, tujulishe unapatikana wapi?
SijakuelewaNi majike yote?
Mkuu Upo wapi?Nyie mliopo TZ sii mchangamkie hicho kitoweo wajameni.
Jf idumu milele aise!Ni majike yote?
Nipo huku "mbele" mkuu
Sijakuelewa
Well,kama ulimaanisha ile thread za kuku kuna matetea na majogoo. Karibu sanaOh ni dagaa kumbe! Sorry mzee