Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

Ya tanga kwan hayana stori? Au ya sehem nyingine? Unajua pale forodhan hotel ndio ilikua sehem wanapumzika magavana wa kijeruman huku wakiangalia bahar ya hind.jengo hilo lina stori nzuri inayouzika,kwann haipo? Leo ukipita unaona fensi tu ni mahakama hapo karibu na hayt park
 
Kwahio "target market" hapo ni mjerumani zaidi! au mzungu....So asipojisikia kuja bongo je? Mhindi au muarabu atatoka kwao huko aje kuona sehemu mjerumani alikua anapumzika na kunywa kahawa anapata view ya bahari? Lol useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…