Ninataka Kuhamia Chato

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Mnipe ABC's za huko wadau sijawahi kufika vipi ukuaji wa mji?
-Huduma za Kijamii
-Uchumi na fedha zikoje?
 
Mkuu,katika suala lako kuna jambo gani la kisiasa hadi uweke Jukwaa la Siasa? Hebu weka jukwaa stahiki tukujibu
 
Mnipe ABC's za huko wadau sijawahi kufika vipi ukuaji wa mji?
-Huduma za Kijamii
-Uchumi na fedha zikoje?
Ni kitu kizuri, lakini nadhani priority ya fursa watapewa wazawa wa huko. Tujuzane maeneo yakisha pimwa
 
Back
Top Bottom