Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,602
Kama hujui nilichokiomba kaa kimya.Uzuri wa shule unaupimaje?
Hope hadi wanangu wanakuja kuanza kusoma hawatasoma huu mfumo mbovu na wa hovyo wa elimu.
Wabillah TaufiqNinataka nimwamishe mwanangu kutoka shule fulani hivi ninatamani kama kuna mdau anayeijua shule yeyote ya private/English Medium iliyo karibu na maeneo ya Sinza, Magomeni na Kinondoni.
Sitaki shule ya mbali sana coz kijana bado ni mdogo sana ninatamani safari isiwe ndefu from home to school.
Shule iwe na school bus!!
Ninaomba yeyote anayefahamu shule yeyote nzuri anitajie tu na kama nitapata contacts itapendeza zaidi.
Ninatanguliza shukurani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mary Mother of the Savour hiyo shule ipo hapo kanisa KatolikiNinataka nimwamishe mwanangu kutoka shule fulani hivi ninatamani kama kuna mdau anayeijua shule yeyote ya private/English Medium iliyo karibu na maeneo ya Sinza, Magomeni na Kinondoni.
Sitaki shule ya mbali sana coz kijana bado ni mdogo sana ninatamani safari isiwe ndefu from home to school.
Shule iwe na school bus!!
Ninaomba yeyote anayefahamu shule yeyote nzuri anitajie tu na kama nitapata contacts itapendeza zaidi.
Ninatanguliza shukurani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mother Mary Nursery and Primary School hiyo shule ipo Kimara Suka njia ya GolanMimi natafuta she nzuri ya English Medium iliyoko Maeneo ya Kimara. msaada
Asante sana kiongozi!Mother Mary Nursery and Primary School hiyo shule ipo Kimara Suka njia ya Golan
mkuu mi nakushauri mpeleke mtoto primary shule za serikali za kawaida za kwenda na kurudi umnoe na twisheni kidogo na sio english medium. Unless otherwise uwe unawashwa pesa.Ninataka nimwamishe mwanangu kutoka shule fulani hivi ninatamani kama kuna mdau anayeijua shule yeyote ya private/English Medium iliyo karibu na maeneo ya Sinza, Magomeni na Kinondoni.
Sitaki shule ya mbali sana coz kijana bado ni mdogo sana ninatamani safari isiwe ndefu from home to school.
Shule iwe na school bus!!
Ninaomba yeyote anayefahamu shule yeyote nzuri anitajie tu na kama nitapata contacts itapendeza zaidi.
Ninatanguliza shukurani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anazak... Ipo kimara temboniMimi natafuta she nzuri ya English Medium iliyoko Maeneo ya Kimara. msaada
Nashukuru sana kwa taarifa mkuu.Anazak... Ipo kimara temboni
Precious Schools Goba La Stana RoadNinataka nimwamishe mwanangu kutoka shule fulani hivi ninatamani kama kuna mdau anayeijua shule yeyote ya private/English Medium iliyo karibu na maeneo ya Sinza, Magomeni na Kinondoni.
Sitaki shule ya mbali sana coz kijana bado ni mdogo sana ninatamani safari isiwe ndefu from home to school.
Shule iwe na school bus!!
Ninaomba yeyote anayefahamu shule yeyote nzuri anitajie tu na kama nitapata contacts itapendeza zaidi.
Ninatanguliza shukurani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msingi wa elimu ni primary.mkuu mi nakushauri mpeleke mtoto primary shule za serikali za kawaida za kwenda na kurudi umnoe na twisheni kidogo na sio english medium. Unless otherwise uwe unawashwa pesa.
Yabidi hizo pesa za english medium ndo uzikusanye ili uje umsomeshe mtoto secondary nzr kama fedha boys/girls na nyinginezo nzr za private.