Ninatafuta kiwanja cha makazi maeneo ya Mbeya mjini

Mzalendo92

Senior Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
177
Reaction score
5
Ninatafuta kiwanja cha makazi maeneo ya mbeya mjini cha bei nzuri eneo la KALOBE, ITENDE, IYUNGA, NZOVWE, NA MAENEO YA KARIBU CHA KUANZIA MILIONI 2 HADI 2.5
 
Nataka nikuunganishe na jamaa yangu anajishughulisha na shughuli hizo za kutafutia watu viwanja na nyumba. je upo tayari?
 
Nenda katafute viwanja Igawilo kwa juu ukipandisha mlima kama unaenda Tukuyu upande wa kushoto kuna maeneo mazuri tu tena unaweza hata ukalima na kufuga.Wapo wenyeji hasa humu wanapajua watakwambia jina lake ila mimi huwa napita tu.Wenyeji watakupa maelezo mazuri
 
Naomba namba yako mdau

Similar Discussions

Back
Top Bottom