Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,699
- 2,455
Nope connection ya hiyo kazi ya ulinziAcha ujinga dogo. Katafute kazi za ulinzi.
Acheni ubitozi wa ujinga ninyi madogo
Nope connection ya hiyo kazi ya ulinziAcha ujinga dogo. Katafute kazi za ulinzi.
Acheni ubitozi wa ujinga ninyi madogo
Huwezi kukosa kazi za ulinzi. Ni nyingi mnoooo.Nope connection ya hiyo kazi ya ulinzi
Ipo mshahara 50000/=
Mimi nimetafuta sana nikakosa makampuni mengi yanataka waliopitia jktHuwezi kukosa kazi za ulinzi. Ni nyingi mnoooo.
Labda upewe ushauri wa kampuni nzuri kidogo.
Hizi kazi watu wanazidharau ila watakuja shtuka it's too late
Makampuni gani hayo yanayotaka waliopita JKT au umeambiwa hivyo ?Mimi nimetafuta sana nikakosa makampuni mengi yanataka waliopitia jkt
Nilienda turu security,nakuna kampuni nne zipo msasani wote waliniambia ningekua na mafunzo ya jkt au mgambo wangenichukuaMakampuni gani hayo yanayotaka waliopita JKT au umeambiwa hivyo ?
Hata SumaJKT wenyewe siku hizi wanachukua mpaka mtaani.
Unaenda kampuni za ajabuNilienda turu security,nakuna kampuni nne zipo msasani wote waliniambia ningekua na mafunzo ya jkt au mgambo wangenichukua
Nielekeze kampuni wanazochukua hata watu wa mtaani nikajaribuUnaenda kampuni za ajabu
Gardaworld uwe tu mrefu atleast.Nielekeze kampuni wanazochukua hata watu wa mtaani nikajaribu
Elimu yako ?Nielekeze kampuni wanazochukua hata watu wa mtaani nikajaribu
Kidato Cha sitaElimu yako ?
Unahitaji fasta au uko tayari kusubiri kwa muda ?Kidato Cha sita
Bro uko sehemu ganiUkipata lessen tafuta wadhamin wa kuaminika ntakupa pik pik, acha kusubiri vibarua utanyanyasika na kutumikishwa
Mkuu connection hii bado ipo ?Unahitaji fasta au uko tayari kusubiri kwa muda ?