Ninatafuta kazi

Ninatafuta kazi

Joined
Feb 15, 2021
Posts
77
Reaction score
89
Waungwana habari zenu! Nimekuja tena hapa kutafuta kazi maana hali yangu kiuchumi ni mbaya sana!

Nina shahada ya Aquatic sciences and fisheries (Sayansi Akua na Uvuvi) niliyohitimu mwaka 2020.

Kwa sasa sina kazi, Kuna sehemu nlikuwa najitolea kupata uzoefu katika taaluma yangu ila napo nimeacha kwa sababu sipati chochote cha kunisaidia kujikimu!

Nina familia inanitegemea hivyo nakuwa na wakati mgumu kukaa jobless bila kuingiza chochote! Ninaishi Ubungo, Dar es salaam kwa sasa.

Kwa aliye na connection ya kazi yoyote ya halali naomba anisaidie tafadhali waungwana! Maisha yangu magumu.

Natanguliza Shukrani
 
Mwaka huu hukubahatika kufanya usahili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom