Ninatafuta Kazi Udereva

Ninatafuta Kazi Udereva

nani kakwambia kuwa udereva ni kazi, Kwa hiyo sisi tunao tumia magari yetu kwenda kazini pia tunafanya kazi ya udereva?

Techman embu kuwa mstarabu basi,kwani lazima u~comment kama huna la maana la kusema?!.au ndo kujitoa uelewa,wangapi wanakula,wanavaa na kulala kupitia kazi hyo hyo ya udereva?eh!!, au nia yako ulitaka tujue kuwa unaendesha gari ukienda kazini,haya malizia basi ututajie na aina ya gari lako maana...na wasiwasi hujitambui.
 
Kwa kweli nina maanisha kabisa ni kazi itakayonifanya niishi na famila yangu nategemea kuajiliwa nanyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom