Ninatafuta kazi ualimu shule za binafsi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninatafuta kazi ualimu shule za binafsi.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by opportunist2012, Mar 29, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wadau.Mimi ni mpya ktk ukurasa huu.Ninatafuta kazi ya kufundisha masomo ya lugha shule za private au vyuo mkoa wa Dar es Salaam.Uzoefu wangu wa kazi ni miaka 3.Vilevile ninaomba kama kuna mtu anajua mitandao ya ajira isiyokuwa ya ubabaishaji tafadhali naomba anijulishe wa e-mail topindar2012@gmail.com.Ahsanteni.
   
 2. mamLook

  mamLook Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Zipo kibao tu.
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ziko wapi mkuu?
   
Loading...