Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

Anum

Member
Joined
Jun 24, 2025
Posts
15
Reaction score
17
Habari za mida huu

Nipo mbele yenu kuomba Msaada wa kupata Gari ya kufanyia tax mtandao (Bolt)
Elimu yangu Chuo kikuu

Nina account ya bolt na uzoefu wa miezi 6

Kwasasa natafuta gari yangu binafsi ili niweze kufanya kazi fulltime
Kwa maelezo zaid 0752837183
 
Ndugu zangu bado sijapata ikiwa kuna boss au connections naomba nichek 0752837183
 
Habari mm ni kijana wa miaka 28 baada ya kutafuta gari ya taxi mtandao kwa mda mrefu bila mafanikio nakuja mbele yenu kuomba ikiwa kuna mtu mzoefu au anajua namna ya kupata Gari za kuendesha bolt anisaidie mawazo nifanye nn niweze kupata Gari niweze kupata kujikimu natanguliza shukran
 
Mtu unataka umpe gari ambayo malipo kwa siku ni Tsh.30,000/=ambayo kwa mwezi Ni laki 9 , gari gharama yake milioni 17 hapo ili urudishe hela na uanze kutengeneza faida ni miaka 2 kwa mazingira ya vijana wa kitanzania utunzaji Cha mtu ni sifuri , itakuwa biashara kichaa hapo unatakiwa ununue gari lako mwenyewe ufanye kazi mwenyewe
 
Habari za mida huu

Nipo mbele yenu kuomba Msaada wa kupata Gari ya kufanyia tax mtandao (Bolt)
Elimu yangu Chuo kikuu

Nina account ya bolt na uzoefu wa miezi 6

Kwasasa natafuta gari yangu binafsi ili niweze kufanya kazi fulltime
Kwa maelezo zaid 0752837183
Graduate hujui Taxi ni nini na Tax ni nini?
 
Bado naendelea kutafuta ndugu zangu niweze kupata kujikim ndugu zangu
 
Bado nina uhitaji viongozi kwa yeyote anaeweza nisaidia au kunipa connection msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom