Sal pa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 217
- 323
Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo ndani na nje kwenye misuli ya kuja kuunga na kiuno ina kuwa kama inakaza, kuna dawa ya asili ambayo nimetumia ndo nikapata afadhali ya kiuno ila kwenye nyonga kama hainisaidii .
Msaada ninaohitaji ni kwa mwenye kufaham nikienda mhimbili nikawaone wataalam wa kitengo kipi ndo wanaweza kunitibu hili tatizo.
Msaada ninaohitaji ni kwa mwenye kufaham nikienda mhimbili nikawaone wataalam wa kitengo kipi ndo wanaweza kunitibu hili tatizo.