unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 477
Hello everyone! Ninasomea uhandisi magari, ni wapi kwa hapa Dar naweza kufanya field au kujitolea?
Nina maana ya workshop ya magari au yard! Ahsanteni!
Ni mdogo wangu
ana tabia njema na ni mchapakazi.
Nina maana ya workshop ya magari au yard! Ahsanteni!
Ni mdogo wangu

ana tabia njema na ni mchapakazi.