Mac hazitumii ios utakuwa unamaanisha macOS.
Kompyuta yenye macos version ya zamani itaendelea kufanya kazi ila kunaweza kutokea changamoto za hapa na pale hada katika kutumia apps mpya.
Apple sio kama Microsoft katika kuendelea kussuport computer zao wanaacha kussuport kama baada ya miaka 5 baada ya toleo ya hiyo computer inaacha kupata updates, so uwezo wako wa kufanya update inategemea na computer model na toleo. Unaweza kuangalia list
hapa
Kwa bahati nzuri kuna watu wanafanya unofficial support ya hizi komputer ambazo apple imeacha kuzisupport, kuna software inaitwa
OpenCore Lgacy Patcher inaruhusu kuinstall version mpya za macos nenda site yao angalia kama model yako iko
supported fanya update ya apple hadi mwisho itakapofikia kisha nenda youtube tafuta jinsi ya kuuupdate version yako kwa kutumia open core.