Ninasaka wimbo wa Msela Remix

Ninasaka wimbo wa Msela Remix

TsotsiKwesta

Senior Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
126
Reaction score
258
Habari zenu wana JF

Natumai Pasaka imeisha salama. Miaka kidogo iliyopita kulikua na uzi watu walipost bongofleva zile old school. Ziliwekwa mp3 hapo lakini ule uzi sijui ulifutwa au la.

Mimi nina shida ya nyimbo ya Msela, ambayo ni ya Marehemu Ngwair na Juma Nature &KR. Natafuta Remix yake yupo Bamboo kutoka Kenya.

Remix inaenda Katika kila jamii kuna mwizi mmoja.

Youtube hakuna remix yake.

Natanguliza Shukrani

Mfana wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom