Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,937 Reaction score 2,356 Aug 15, 2021 #1 Wanajopo habari ya Jumapili, Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi. Shukrani
Wanajopo habari ya Jumapili, Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi. Shukrani
Mangole Valles Michael JF-Expert Member Joined May 30, 2021 Posts 339 Reaction score 683 Aug 16, 2021 #2 Uzoefu wa/katika kuwasiliana.
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,840 Reaction score 11,783 Aug 16, 2021 #3 Mbinu za mawasiliano
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 12,312 Reaction score 18,188 Aug 16, 2021 #4 Mtafiti77 said: Wanajopo habari ya Jumapili, Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi. Shukrani Click to expand... Mbinu au stadi au taratibu njema ambazo zitaleta matokeo mazuri katika kuwasiliana. Kuwasiliana baina yako wewe na wewe,au baina ya wewe na mazingira yanayokuzunguka yaani watu wengine.
Mtafiti77 said: Wanajopo habari ya Jumapili, Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi. Shukrani Click to expand... Mbinu au stadi au taratibu njema ambazo zitaleta matokeo mazuri katika kuwasiliana. Kuwasiliana baina yako wewe na wewe,au baina ya wewe na mazingira yanayokuzunguka yaani watu wengine.
ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 5,245 Reaction score 12,424 Aug 16, 2021 #5 Ujuzi wa mawasiliano
Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,937 Reaction score 2,356 Aug 16, 2021 Thread starter #6 safuher said: Mbinu au stadi au taratibu njema ambazo zitaleta matokeo mazuri katika kuwasiliana. Kuwasiliana baina yako wewe na wewe,au baina ya wewe na mazingira yanayokuzunguka yaani watu wengine. Click to expand... Asante sana.
safuher said: Mbinu au stadi au taratibu njema ambazo zitaleta matokeo mazuri katika kuwasiliana. Kuwasiliana baina yako wewe na wewe,au baina ya wewe na mazingira yanayokuzunguka yaani watu wengine. Click to expand... Asante sana.
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 12,312 Reaction score 18,188 Aug 16, 2021 #7 Mtafiti77 said: Asante sana. Click to expand... Pamoja karibu
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,826 Reaction score 22,364 Jun 30, 2022 #8 Communication skills ni uwezo mkubwa wa kuwasiliana na watu kwa lugha husika. Sent using Jamii Forums mobile app
Communication skills ni uwezo mkubwa wa kuwasiliana na watu kwa lugha husika. Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ya kubeti JF-Expert Member Joined Apr 6, 2021 Posts 439 Reaction score 664 Jul 8, 2022 #9 Hii inanichanganya tofauti ya Skills Knowledge