Ninaomba msamaha dakika 89’

Ninaomba msamaha dakika 89’

Konkmaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
360
Reaction score
291
Mchezo siku zote maamuzi anayo referee mi nikona dakika zinayoyoma inapidi ni rejeshe mpira kwa golikia halafu ni muombe referee anisamehe pale nilipotaka kujifunga goli la mkono!
 
Image result for nape nnauye
 
Chezea kitumbua wew kwan? Msamaha kitu gan!!!
 
Halafu hawa ndio wanaowashauri vijana wetu wakimaliza chuo wajiajiri wakati wao hawataki kujiajiri mpaka analazimika kumwita kaka yake "BABA"!
 
Back
Top Bottom