Mbona kule GT ashadii ashaanzisha nyie(yericko na nape) hamjathibitisha?
nape aliwaambia yupo nje ya nchi na tunatofautiana masaa nane. so mkisema muanze saa hizi mtakua mnamuonea sababu yeye bado ni usiku labda saa hizi kwake ni saa saba za usiku. mungemtaarifu kwa pm kuangalia kama yupo hewani. mia
subira huvuta kheriNina uhakika Nape ameingia mitini, Hongera Yericko Nyerere kwa kumtia Hofu Nape, Mods Tafadhalini sana kwa kitendo hiki cha Nape kuingia mitini kwenye mijadala ya msingi ambayo sina uhakika kama alithibitisha ushiriki wake, ila kama alithibitisha ushiriki wake halafu akaingia mitini, Ale Ban ya moja kwa moja asishiriki kitu huku jf.
Kwa tofauti ya masaa 8 inamaana huko aliko Nape ni saa 10 jioni, anaweza kushiriki tu na ratiba aliiona hapa, labda aingie mitini tu!
subira huvuta kheri
Ni saa 10 tar ngapi huko alipo Nape?Nina wasiwasi hii tofauti ya masaa 8 ni nyuma kwa tanzania!Kama ni hivyo,alipo Nape sa3 ya huku kule ni sa7 usiku wa tar 25/12!
Aliyetaka mjadala na Nape alipiga mahesabu vizuri ya Muda....
wapi Nnauye Jr wadao wanakusubiri wewe, mods inawezekana Nape anatatizo la kulog in msaidieni tafadhali
Aliyetaka mjadala na Nape alipiga mahesabu vizuri ya Muda....
kwani Nnauye Jr yuko nchi gani?
Ngoja nimpigie simu nape kumwambia aamke maana kuna vijitu hapa vinasema Amekimbia mdahalo mara ooh ccm ndio zao tukutane kule GT ...TUTARUDI