Hata waangaike vipi..CCMOUTTofautisha mambo, kipindi kile warioba na polepole walikuwa wanazungumzia katiba ya nchi, kwa maana wao walipita kwa wananchi na wakapokea maoni ya wananchi, hivyo walitetea maoni ya wananchi, sasa hivi ni mada tofauti, ukizingatia uzoefu wao walio upata wakati wa kukusanya maoni, wameona hali halisi ya wananchi hao, hivyo sasa hivi wanatetea mtu ambaye ataweza kuleta mabadiliko kwa wananchi na sio wakae kimya kuangalia nchi inachukuliwa na mwizi, fisadi. Nawapongeza warioba na polepole
Tatizo ni kuongozwa na tumbo badala ya ubongo.Watanzania wengi sio wazalendo.Anayoongea Polepole sio bahati mbaya
wala sio kwamba hajui.Ni kwa maslahi yake binafsi, haitakiwi kwenda shule kuelewa hali halisi ya maendeleo ya nchi yetu.
Jana nilimshangaa hataki tujilinganishe na China ambayo sometimes ago tulikuwa tunalingana kimaendeleo.
Ndugu wanajamvi kwa siku nyingi nimemuona na kumsikia jamaa huyu kwenye media. Nimejisikia vibaya zaidi siku ya jana akiwa channel ten baada ya kudiriki kulidanganya taifa.
Nilijiuliza mambo na maswali mengi moja ikiwa ni huyu jamaa amesomea wapi,walimu wake wapo na ameishi wapi?
Mtu kama huyu si mzuri kabisa na mimi naomba mdahalo naye atakama ni mkoani ila niko tayari kujq DSM. Eti Nyerere kazi yake ilikua ni uhuru na umoja. Mtu ajui ata historia ya taifa ili.
Hata the first five year development plan aijui na import-export substitution industries ajui,SIDO ata na viwanda kama MATSHUSHTA, GENERAL TYRE, WAZO, TIPA, UFI, ZZK, BUKOP nk ajui vilijengwa na nani.
Naomba mdahalo na pole pole angalau niwe mwalimu wake wa muda.
Tatizo ni kuongozwa na tumbo badala ya ubongo.Watanzania wengi sio wazalendo.Anayoongea Polepole sio bahati mbaya
wala sio kwamba hajui.Ni kwa maslahi yake binafsi, haitakiwi kwenda shule kuelewa hali halisi ya maendeleo ya nchi yetu.
Jana nilimshangaa hataki tujilinganishe na China ambayo sometimes ago tulikuwa tunalingana kimaendeleo.
Unataka tujilinganishe na china? Tena ni mfano mzuri sana, china wameendelea sio kwa kubadilisha chama tawala. China kwa kipindi chote kimetawaliwa na chama kimoja tu, kinachohitajika ni uongozi thabiti, na si mwingine ni JPM
Wameisha fungia mjadala yake yote...sasa hivi anapakusemea. Mpaka avae kijani au njano ndo ataruhusiwa
Tofautisha mambo, kipindi kile warioba na polepole walikuwa wanazungumzia katiba ya nchi, kwa maana wao walipita kwa wananchi na wakapokea maoni ya wananchi, hivyo walitetea maoni ya wananchi, sasa hivi ni mada tofauti, ukizingatia uzoefu wao walio upata wakati wa kukusanya maoni, wameona hali halisi ya wananchi hao, hivyo sasa hivi wanatetea mtu ambaye ataweza kuleta mabadiliko kwa wananchi na sio wakae kimya kuangalia nchi inachukuliwa na mwizi, fisadi. Nawapongeza warioba na polepole
Wameisha fungia mjadala yake yote...sasa hivi anapakusemea. Mpaka avae kijani au njano ndo ataruhusiwa
Afadhali utusaidieNdugu wanajamvi kwa siku nyingi nimemuona na kumsikia jamaa huyu kwenye media. Nimejisikia vibaya zaidi siku ya jana akiwa channel ten baada ya kudiriki kulidanganya taifa.