Achana na huyu mwizi wa laki 6.Ndugu wanajamvi kwa siku nyingi nimemuona na kumsikia jamaa huyu kwenye media. Nimejisikia vibaya zaidi siku ya jana akiwa channel ten baada ya kudiriki kulidanganya taifa.
Nilijiuliza mambo na maswali mengi moja ikiwa ni huyu jamaa amesomea wapi,walimu wake wapo na ameishi wapi?
Mtu kama huyu si mzuri kabisa na mimi naomba mdahalo naye atakama ni mkoani ila niko tayari kujq DSM. Eti Nyerere kazi yake ilikua ni uhuru na umoja. Mtu ajui ata historia ya taifa ili.
Hata the first five year development plan aijui na import-export substitution industries ajui,SIDO ata na viwanda kama MATSHUSHTA, GENERAL TYRE, WAZO, TIPA, UFI, ZZK, BUKOP nk ajui vilijengwa na nani.
Naomba mdahalo na pole pole angalau niwe mwalimu wake wa muda.
Mkuu tukimuacha huyu Polepole analipotosha taifa nani aibu kwetu tunao elewa tukikaa kimya. Polepole is a layman of our history and what Tanzanians wants. NATAKA MDAHALO NA POLEPOLE
Polepole amegeuka kuwa kichaka cha katiba ya warioba,ccm bwana ukijipendekeza unakula kwako'mzee warioba amegeuka katiba pendekezwa ya wananchi,watz sisi ni watu wa ajabu kweli
Ndugu wanajamvi kwa siku nyingi nimemuona na kumsikia jamaa huyu kwenye media. Nimejisikia vibaya zaidi siku ya jana akiwa channel ten baada ya kudiriki kulidanganya taifa.
Nilijiuliza mambo na maswali mengi moja ikiwa ni huyu jamaa amesomea wapi,walimu wake wapo na ameishi wapi?
Mtu kama huyu si mzuri kabisa na mimi naomba mdahalo naye atakama ni mkoani ila niko tayari kujq DSM. Eti Nyerere kazi yake ilikua ni uhuru na umoja. Mtu ajui ata historia ya taifa ili.
Hata the first five year development plan aijui na import-export substitution industries ajui,SIDO ata na viwanda kama MATSHUSHTA, GENERAL TYRE, WAZO, TIPA, UFI, ZZK, BUKOP nk ajui vilijengwa na nani.
Naomba mdahalo na pole pole angalau niwe mwalimu wake wa muda.
Huyo fisadi amekufisidi nini kama sio ushabikiTofautisha mambo, kipindi kile warioba na polepole walikuwa wanazungumzia katiba ya nchi, kwa maana wao walipita kwa wananchi na wakapokea maoni ya wananchi, hivyo walitetea maoni ya wananchi, sasa hivi ni mada tofauti, ukizingatia uzoefu wao walio upata wakati wa kukusanya maoni, wameona hali halisi ya wananchi hao, hivyo sasa hivi wanatetea mtu ambaye ataweza kuleta mabadiliko kwa wananchi na sio wakae kimya kuangalia nchi inachukuliwa na mwizi, fisadi. Nawapongeza warioba na polepole
Huyo fisadi amekufisidi nini kama sio ushabiki
Mdahalo huo unaoutaka ni "Live programme" au "Recorded programme"?
Umewasikia TCRA lakini? Usiseme hatukukutahadharisha....
Ni vizuri ukiwa live mkuu TCRA hao bado kabisa. Unakumbuka wakati wa BOTHA na apartheid gov yake? Ilifika muda wakanywea kabisa no fear anymore.