Ninani mwenye uhalali?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi vyamavya upinzani havina ruhusa ya kufanya maandamano ya amani??mbona chama tawala chenyewe hata taarifa kwa polisi hakitoi??
 
sasa kaka kiiza maandamano ya amani wakati moshi wa katiba unafuka, watu wana hasira bado na majeaha ya uchaguzi bado kabisa kukauka, achilia mbali kupona nk. mi nafikiri wakuu wanachezwa machale , ndiyo maana wanakataza
 
Hata kama nihivyo wanabidi waonyeshe demokrasia kweli wanaboa kwakuua upinzani.
 
Hii inanikumbusha mwaka 2001, kabla ya hapo maandamano yoyote yaliyokuwa yakiombewa ruhusa na vyama vya upinzani kufanyika yalikuwa yakikataliwa na polisi kwa madai ya kukosa uhalali! Mwaka 2001 pale akina lipumba walipoandamana kwa nguvu mpaka wakavunjwa mikono kupinga matokeo ya uchaguzi wa znz na watu wengine wakauuawa kule zenji serikali ikalaumiwa na jumuia ya kimataifa, kilichofuata serikali iliruhusu maandamano na vikwazo vikawa very minimal. Lakini inaonekana moto wa cdm mwaka huu kwenye uchaguzi umeleta tabia ya geshi la polisi kurudia tabia waliyokuwa nayo kabla ya mauwaji ya 2001 kule pemba ya kukataa kila ombi la kukutana kwa amani kwa upinzani! Tunaomba Almighty good Lord awaingie moyoni wanaokataa maandamano ya amani, Azinyongónyeshe mioyo ya wale wanaowatuma jamaa hawa wakataze haki za raia kuamndamana ku-express their opinions!
 
nibora uishi na mnyama kuliko binadamu kwakuwa binadamu akichoka hakuna lugha ya kumwambia acha wakati ana hasira,siku watanzania watachoka mtakuja kusikia!!!
 
tatizo ccm bado inatawala kana kwamba nchi bado ni ya chama kimoja.na chanzo kikubwa ni viongozi wa juu wa ccm kua wanajeshi wastaafu waliozoea kutumia mabavu zaidi kuliko akili na demokrasia.
 
Back
Top Bottom