muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
Ukiwa mharifu au mpinzani ndio unapitia hatua Hizo.hivi ninani ambaye hajawahi kupitia hatua hii wewe kama nimwanaume mwenye zaidi ya miaka 25 hukupitia hapa bado hujakamilika
View attachment 998478
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mtizamo wake ulivyokukamilika kwa mwanaume ni lazima uingie jela??
tuheshimu mtazamo wa mtuNdio mtizamo wake ulivyo
Ukiwa mharifu au mpinzani ndio unapitia hatua Hizo.
Sio wote ni wanaharakati ndugu
niaminishe nikuamini
niaminishe nikuamini
Hili bara sijui lina shida gani! yaani matatizo mnayafanya sifa?
Unaharakatia nini? Kipi unachokiamini na kukisimamia?
Kazi kweli kweli yani shida Sifa?Mentality hii mkuu abadili tu Tanzania ya kukomboa fikra.ya viwanda kwa vichwa hivi imefeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzio kwenda Jela au mahaubusu wanachukulia ni ushujaaHili bara sijui lina shida gani! yaani matatizo mnayafanya sifa?
hapa nilipo nna 25yrs na bado sijawahi kwenda polisi hata kwa kushtaki tu, unataka kunambia bado sijakamilika??