spyboss
Member
- Nov 30, 2015
- 45
- 69
Hivi kweli taasisi inatoa tenda kwa taasisi nyingine kuwafanyia watu usahili halafu mwisho wa siku watu wale walioitwa kuja kwenye usahili huo hawawapi kazi wanampa kazi mtoto wa bosi wa taasisi hiyo ambaye hata kwenye usahili hakuwepo wala haja volunteer kufanya kazi kwenye taasisi hiyo ........hivi jamani kulikua na sababu gani ya kuita watu kwenye usahili.........Mimi namuachia Mungu!!!!!!!!!