Wakibosho huku hawapo bana we nenda pale soko la ndizi manzese utampata,mi nakajua si kafupi hivi kakorofi hako pale kanajulikana kwa jina la hampetiti

Asante sana mkuu Ndakilawe nitafanya hivyo pia. Ila pia pengine watu wa umri wake si member wengi hapa JF au jamaa pengine hajajichanganya sana na watu aliporudi Dar au. Kuna rafiki zake walikuwa wanaitwa somebody Kisoka, Ulrich Mumburi, Celestine, Felix Mushi, etc. Mke wake nimemsahau jina maana ni muda mrefu kidogo.Mpe Kibonde au Gerald Hando wa Clouds FM hiyo kazi...Huchukui week, unampata
Kuwa na adabu kijana
Hao rafiki zake, kwa mfano Kisoka anafanyia wapi! au ni Kisoka wa sehemu gani pale kibosho...Tunaweza saidiana kwa hilo, labda tunawafahamu ndugu za kisoka, tunaweza kuwauliza na wao wakamuuliza kisoka alipo Gerald, ukapata jibu!Asante sana mkuu Ndakilawe nitafanya hivyo pia. Ila pia pengine watu wa umri wake si member wengi hapa JF au jamaa pengine hajajichanganya sana na watu aliporudi Dar au. Kuna rafiki zake walikuwa wanaitwa somebody Kisoka, Ulrich Mumburi, Celestine, Felix Mushi, etc. Mke wake nimemsahau jina maana ni muda mrefu kidogo.
Hao rafiki zake, kwa mfano Kisoka anafanyia wapi! au ni Kisoka wa sehemu gani pale kibosho...Tunaweza saidiana kwa hilo, labda tunawafahamu ndugu za kisoka, tunaweza kuwauliza na wao wakamuuliza kisoka alipo Gerald, ukapata jibu!