chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,039
- 3,084
akili hazifanani lakini nitafanya hivyo kwakua umenishauri...ungemfuata chemba na kumwambia yote hayo ungefanya la maana kinyume na hapo ni unaaafki
kila la kheri mdogowangu β€οΈMmh Asante mwayaaa nakupenda pia Kaka yanguβ€οΈ
Umeanzia mbali sana mkuu kutega nyavu zako.Huyu mdogowangu kila akipost napata furaha na kuona siku hiyo imeenda vyema sana.
Hajui jins ya kutega uyuUmeanzia mbali sana mkuu kutega nyavu zako.
Unaweza usipate Samaki kabisa.
Asante nawe piakila la kheri mdogowangu β€οΈ
Vipi ikitokea na mimi nikakupenda! β₯οΈMmh Asante mwayaaa nakupenda pia Kaka yanguβ€οΈ
inaombwaje bro?Haiombwi hivyo
Haukuwepo kwenye kikao Cha wanaume!?inaombwaje bro?
Kwa Sisi wakristo Yesu alituachia Amri kuu yaani tupendane.Vipi ikitokea na mimi nikakupenda! β₯οΈ
Sikuwepo bro, nilikuwa kwa diana marryHaukuwepo kwenye kikao Cha wanaume!?
huyu utamuita wifiππ