kweli sidhani kama nitaweza kuhandle iyo situation ya kuwa rejected tena.si nitakufa mimi jamani?Smile hili game mdogo wangu gumu hasa pale mtu uliemwamini alikutenda. Hofu huwa ni nahuyu aweza nitenda, japo kiukweli wanaume wengi wakishaonja degree ya upendo inashuka badala ya kupanda, kaazi kweli2
tuna miezi saba now
Kama hofu yako ni kutendwa basi ili kumvutia pozi,
si ukanunue tu 'kitu' cha bandia wakati unamsubiria
kujua undani wake uwe unajisevia kwa kitu
bandia! Unaonaje madam!
Kuna mdada aliwahi kuniambia kuwa alitumia njia hii
na kweli ilimsaidia kwani mpenzi wake alijenga imani kwake na
akaamua kutangaza penzi kiukweli kweli hadi akamuoa.
Tatizo ni kwamba amejikuta muda mwingi
anawaza sana arudie zama za ile kitu bandia.
Ni ushauri tu lakini! changanya na zako na za mbayuwayu
kweli sidhani kama nitaweza kuhandle iyo situation ya kuwa rejected tena.si nitakufa mimi jamani?
kiukweli angaza tulienda siku nyingi.naogopa akija kuniacha tena si nitakufa mimi jamani?kupeana ni kikoa bibiweeeeeee...km umempenda na unataka ile huduma mupemupe ila kwa step...ANGAZA KWANZA
na ukimpa leo usimpe tena kesho....umchek spid zake km anapunguza mawasiliano au ..na vtu vngnevyo pia umchek
usitumie hstoria kumhukumu kaka wa watu...km unamtaka,umempenda mpe haina haja ya kumnyima kisa umuamin et john alinifanya ivi......ukampe leo sawa mama/
tena venue ulipie wewe afu umwte as suprise...usiogope cost asi unajua jinsi ya kurudsha gharama?
utatumia lak ivi lakin unampiga mzinga wa laki9...hahah hahahahaaaaaaaaaaaaaaa😛eep:
what shall i do brother ?
kiukweli angaza tulienda siku nyingi.naogopa akija kuniacha tena si nitakufa mimi jamani?
you are a captive of your own identity living in prison of your own creation!!!....the captivity of negativity is killing you!
Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau
Nilikuwa na mpenzi niliekuwa nampenda sana sana lakini mwisho wa siku aliniacha na kufunga ndoa narafiki yangu kipenzi.
From there sijawai kuwa kwenye relationship seriously maana sijawai kumpenda mwanaume yeyote tena since then
Miaka imeenda (shukranikwa jamii forums na wadai wake ) nimeweza kusahau ile hali kidogo na kuanza maisha upya.
Nikaamua kuingia kwenye mahusiano ,sijui tatizo ni mimi Kuna mwanaume kweli ninampenda lakini tunashindwakwenda mbele zaidi maana kiukweli simuamini .sijawahi kumuhisi kitu basi tu sijiamini na mahusiano nae
Hatujawai kusex nahisi anaweza tukisex anaweza kuniacha tena jamani sijui nifanyeje nahisikumpoteza
Kwani jamani kusex ni lazima jamani? I wish angenielewa imani yangu ila nampenda kweli kweli