Usioe mke mwenye mtoto mkuu....kimbia na usigeuke nyuma yaani kimbia...kimbia kabisa
Ni hatari kwa afya yako
Sio lazima uoe among hao wawili, kwani una haraka ya nini?wanawake ndio hua tunasemwa tupo desperate na ndoa sikujua kama kuna wanaume nao hua wanakua desperate
well I'm not that desperate kuoa but i think it my right time for me to start my own family na kuepuka mengi ya dunia...no rush tho, thanks 🙂Sio lazima uoe among hao wawili, kwani una haraka ya nini?wanawake ndio hua tunasemwa tupo desperate na ndoa sikujua kama kuna wanaume nao hua wanakua desperate
thanks that a beutiful peae of advice. Be blessedswala la kuoa lahitaji utulivu mkubwa na halihitaji haraka, hawakukosea waliosema kosea kujenga utaboboa ila uskosee kuoa, kuwa na utulivu na subra huku ukimwomba Mungu wako akupatie mwenza sahii, nibora uchelewe hata miaka mitatu upate mtu sahihi kuliko uwahi umpate asiyesahihi na hii itakupa mateso, majuto na malalamiko siku zote za uhai wa ndoa yako, mambo mazuri hayataki haraka punguza munkar.