Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
Wabongo mbona hamna dogo?
We Riz1 Tulia uambiwe ukweliWabongo mbona hamna dogo?
Sawa mkuu,hii ni kampuni kubwa ndio,lakini pale wamejaa wahindi kwa asilimia kubwa, kuna jamaa yuko pale nilikuwa nae interbeton iringa, anaongea wazi wale jamaa bure kabisa.Mkuu nikuulize swali?
Unautaalamu wowote na masuala ya construction? Kama huna kaa kimya hawa jamaa hawabahatishi ni kampuni ambayo haijaanza leo wala jana
Strabag is a Austrian construction company
based in Villach, with its headquarters in Vienna. It is the largest construction company in Austria and one of the largest construction companies in Europe. The company is active in its home markets Austria and Germany and in all countries of Eastern and South-East Europe, in selected markets in Western Europe, on the Arabian Peninsula, as well as in Canada, Chile, China and India. In these markets STRABAG has subsidiaries or operates on a project-basis.
90% of the capital of German listed company Strabag AG, headquartered in Köln, belongs to the Austrian company.
Revenue yao ni 12 billion Euro wanajua wanachokifanya
mkuu
Kwa ushauri hebu waone hapa STRABAG SE - BUILDING VISIONS. BUILDING VALUES. BUILDING EUROPE.
Sawa mkuu,hii ni kampuni kubwa ndio,lakini pale wamejaa wahindi kwa asilimia kubwa, kuna jamaa yuko pale nilikuwa nae interbeton iringa, anaongea wazi wale jamaa bure kabisa.
Kaka tatizo letu wabongo tumezoea porojo za kwenye dalaldala au za kwenye mikutano ya CCM,hatuna hata muda wa kusugua bongo zetu angalau kwa mfano kujua kama vile uwezo wa kampuni ,mleta maada angejitahidi hata ku google kujua uwezo wa kampuni,ndio faida ya intaneti ,tusifanye itaneti ni kwa ajili ya email na kusoma JF tu ,bali iwe ni kwa kuongeza maarifa na kujielimisha.Haihitaji shule kujua STRABAG kuwa ni kampuni kubwa kuanzia vifaa na pia hata barabara walizozijenga zina ubora wa hali ya juu sana.Mkuu nikuulize swali?
Unautaalamu wowote na masuala ya construction? Kama huna kaa kimya hawa jamaa hawabahatishi ni kampuni ambayo haijaanza leo wala jana
Strabag is a Austrian construction company based in Villach, with its headquarters in Vienna. It is the largest construction company in Austria and one of the largest construction companies in Europe. The company is active in its home markets Austria and Germany and in all countries of Eastern and South-East Europe, in selected markets in Western Europe, on the Arabian Peninsula, as well as in Canada, Chile, China and India. In these markets STRABAG has subsidiaries or operates on a project-basis.
90% of the capital of German listed company Strabag AG, headquartered in Köln, belongs to the Austrian company.
Revenue yao ni 12 billion Euro wanajua wanachokifanya
mkuu
Kwa ushauri hebu waone hapa STRABAG SE - BUILDING VISIONS. BUILDING VALUES. BUILDING EUROPE.
Kaka tatizo letu wabongo tumezoea porojo za kwenye dalaldala au za kwenye mikutano ya CCM,hatuna hata muda wa kusugua bongo zetu angalau kwa mfano kujua kama vile uwezo wa kampuni ,mleta maada angejitahidi hata ku google kujua uwezo wa kampuni,ndio faida ya intaneti ,tusifanye itaneti ni kwa ajili ya email na kusoma JF tu ,bali iwe ni kwa kuongeza maarifa na kujielimisha.Haihitaji shule kujua STRABAG kuwa ni kampuni kubwa kuanzia vifaa na pia hata barabara walizozijenga zina ubora wa hali ya juu sana.
Binafsi nawakubali
Binafsi nawakubali
wabongo kila mtu injinia.
Kama mna wasiwasi na strabag kawaangalie wale wanaojenga kilwa road ndo mtaelewa!
Mkuu nikuulize swali?